Sema jambo - Jambo
Jambo bwana - Jambo bwana
Habari gani - Habari gani
Mzuri sana
Jambo, jambo bwana
Habari gani, mzuri sana
Tuimbe, tucheze zote
Kiswahili ni lugha ya Afrika
Kiswahili ndio lugha yetu ya Afrika
upende usipende utapenda kwa hakika
Michael Jackson akaimba Kiswahili
Lionel Richie akamfuata ni wa pili
Mkae hivyo hivyo siku zote kwa amani
Maisha, Afrika yatakuwa na thamani
Tuimbe tucheze tuseme Kiswahili